Mlandege FC imefuzu hatua ya fainali Mapinduzi Cup 2024 baada ya kuitoa APR ya Rwanda kwa penalti 4-2 kwenye mechi ya nusu fainali iliyoisha dakika 90 bila kufungana (0-0) na …
Tag:
Mlandege Fc
-
-
Ni mshtuko mkubwa kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania baada ya Mlandege Fc ya visiwani Zanzibar kufanikiwa kuwafunga Singida Big Stars 2-1 katika mchezo wa fainali ya kombe la Mapinduzi …
-
Timu ya Namungo Fc imetolewa katika michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea Visiwani Zanzibar baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-4 kutoka kwa Mlandege katika changamoto ya mikwaju ya penati …
-
Klabu ya Simba sc imeondoshwa katika michuano ya Mapinduzi Cup inayoendelea huko Zanzibar baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 katika mchezo wa kwanza dhidi ya Mlandege Fc uliofanyika katika …