Mfanya biashara Mohammed Dewji maarufu ksma Mo,ametajwa tena na Ripoti mpya ya jarida la Forbes kuwa ni mfanya biashara Tajiri mdogo kuliko wote Afrika kwa mwaka wa sita mfululizo akikadiriwa kuwa …
mo dewji
-
-
Mwekezaji wa Simba na Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (Mo) amesema tayari wamempata kocha mpya wa timu hiyo atakayetambulishwa wiki hii, huku akiwashukia wachezaji watovu …
-
Inadaiwa ni ngumu kumuchukua kocha wa Simba klabuni hapo kutokana na mahusiano na malengo aliyojiwekea na tajiri wa klabu hiyo bilionea Mohamed Dewji toka msimu uliopita. Hivi karibuni zilisambaa tetesi …
-
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji amemteua aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori kuwa Mshauri Binafsi wa Mwenyekiti wa Bodi. Magori ambaye amewahi kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho …
-
Beki wa kushoto wa Simba sc Mohamed Hussein Zimbwe JR amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia klabuni hapo baada ya ule wa awali kufikia tamati msimu huu. Beki huyo …
-
Taarifa za ndani ya klabu ya Simba Sc zinadai kuwa aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Yanga Sc Ibrahimu Ajibu Migomba tayari amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo kwa misimu miwili …
-
Mshambualiaji wa Simba Sc John Boko amesaini kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo baada ya ule wa awali kufikia kikomo msimu. Mshambualiaji huyo aliyejiunga simba akitokea Azam Fc …