Westham United ya nchini England leo Octoba 15,imetangaza kumfungia kwa miaka mitatu kuingia uwanjani shabiki wake,Bradley Thumwood kwa kosa la kumbagua Mohammed Salah wa liverpool katika mchezo uliofanyika February 2019 …
Tag:
mo salah
-
-
Mshambuliaji wa KRC Genk na Timu Ya Taifa Ya Tanzania Mbwana Samatta amebadili kampuni ya uwakala aliyokuwa nayo mwanzo ya First For Players na kujiunga na Spocs Consultant kwa ajili …
-
Mshambuliaji wa timu ya Liverpool fc Mohamed Salah ataikosa michezo ya kufuzu fainali za mataifa ya Afrika(Afcon) dhidi ya Kenya na Comoro kufuatia kaundamwa na majeraha aliyoyapata wakati akiitumikia timu …