Mshambuliaji Mnamibia wa klabu ya Yanga hatimaye amefunga goli lililoipa klabu yake ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao Fc katika uwanja wa Ccm Kirumba jijini Mwanza. Mbao licha ya …
molinga
-
-
Straika David Molinga amebakiza kidogo kuanza kuichezea timu hiyo katika michuano ya kimataifa baada ya leseni yake kuwa katika hatua za mwisho kukamilika kufuatia kuchelewa kuipata baada ya usajili wake …
-
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limewatoa hofu viongozi wa klabu ya Yanga kuwa wataruhusiwa kuwatumia wachezaji wao David Molinga na Mustafa Suleyman kwenye mchezo wa mtoano kombe la Shirikisho …
-
Mshambuliaji wa Yanga David Molinga ameiokoa timu hiyo na kipigo baada ya kufunga mabao mawili ya kusawazisha kufuatia kufunga mabao 3-1 mpaka dakika ya 58 ya mchezo dhidi ya Polisi …
-
Timu ya Yanga sc itaendelea kukosa huduma ya mshambuliaji wake David Molinga katika michuano ya kimataifa baada ya leseni yake kutowasili kutoka shirikisho la soka barani Afrikac(Caf). Molinga na Mustapha …
-
Kocha wa timu ya Yanga Mwinyi Zahera amesema mshambuliaji mpya wa timu hiyo David Molinga ni hatari kushinda Herritier Makambo aliyeichezea timu hiyo msimu uliopita. Zahera amesema hayo jana wakati …
-
Wachezaji Farouk Shikalo,Mustapha Seleman na David Molinga wataukosa mchezo wa marudiano wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers baada ya kukosa leseni kutoka shirikisho la soka barani Afrika (Caf) …
-
Wachezaji wapya wa Yanga sc Farouk Shikalo na David Molinga wapo kwenye hatihati ya kuikabili Township Rollers baada ya kutopata leseni kutoka shirikisho la soka barani afrika (Caf) inayowaruhusu kucheza …