Klabu ya Simba sc imekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tanzania Prisons Fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ikiwa ni mchezo wa raundi ya 16 …
morogoro
-
-
Klabu ya Simba sc sasa imetangaza kuwa itautumia uwanja wa Jamhuri ulioko mkoani Morogoro kama uwanja wake wa nyumbani kutokana na uwanja wa Uhuru na Benjamini Mkapa kufungwa na Serikali …
-
Klabu ya Young Africans Sc imetozwa faini ya laki tano (500,000) kwa kosa la mashabiki wa timu yake kuonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kuwapiga na kuwachania jezi mashabiki …
-
Kikosi cha Yanga Sc kinachonolewa na kocha mkuu, Zlatko Krmpotic kinatarajia kuanza safari yake leo kueleleka Morogoro kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa …
-
Yanga sc imeibuka na ushindi wa magoli mawili dhidi ya Friends Rangers katika mechi ya kirafiki iliyopigwa asubuhi ya leo mjini Morogoro katika kambi ya timu hiyo iliyopo chuo cha …
-
Mambo yamezidi kumnyookea beki wa Yanga sc Paulo Godfrey “Boxer” baada ya jana kuvaa jezi ya timu ya taifa kwa mara ya kwanza huku pia ikidaiwa timu hiyo imemuongezea mshahara …
-
Hatimaye kocha mkuu wa Yanga sc Mwinyi Zahera ametua nchini leo alfajiri akitokea nchini Ufaransa alipokua na mapumziko baada ya kutoka katika michuano ya Afcon na timu ya taifa ya …
-
Achana na taarifa za mgomo zinazoendelea Jangwani,Fowadi ya timu hiyo ni hatari baada ya kushinda mabao 19 ndani ya mechi tatu huku Mnyarwanda Patrick sibomana,Mrisho Ngasaa wakipachika mabao ya kutosha …
-
Kipa mpya wa timu ya Yanga sc Mkenya Farouk Shikalo jana amewasili nchini na kupokelewa na kaimu katibu mkuu wa klabu hiyo Dismas Ten katika uwanja wa ndege wa kimataifa …
-
Mshambuliaji wa Yanga sc Mganda Juma Balinya (JB) ni kama ameuwasha moto huko kambini Morogoro ambako kikosi hicho kimeweka kambi ya kujiandaa na msimu wa ligi kuu na michuano ya …