Inaelezwa kuwa nyota wa Yanga, Bernard Morrison anaweza kuonekana akiwa kwenye uzi mweupe na mwekundu kwani tayari amemalizana na uongozi wa Smba hivyo mda wowote anaweza kutangazwa. Mkurugenzi wa Uwekezaji …
morrison
-
-
Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison leo ametumia dakika 64 ndani ya Uwanja wa Taifa akidhibitiwa na mabeki wa safu ya Simba iliyokuwa ikiongozwa na Pascal Wawa kwenye mchezo wa Kombe …
-
Winga wa Yanga Bernard Morrison ‘amepaa’ kuelekea Bukoba tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa Alhamisi, Julai 09 kwenye uwanja wa Kaitaba. Morrison ataungana na …
-
Kamati ya nidhamu ya TFF imewafungia Bernard Morrison (Yanga) na Jonas Mkude (Simba) kila mmoja mechi mbili pamoja na faini ya shilingi lakini tano (500,000) kutokana na vitendo ambavyo si …
-
Mazoezi ya Yanga Sc yameendelea leo katika Uwanja wa shule ya sheria ambapo Bernard Morison ni moja ya wachezaji ambao wamejiunga na timu leo hii baada ya kukosekana kwa siku …
-
Inaelezwa klabu moja kutoka huko Arabuni inajipanga kuleta ofa Jangwani baada ya kuvutiwa na uwezo wa winga Bernard Morrison aliyesajiliwa na klabu hiyo mwezi Januari mwaka huu Klabu hiyo inayomilikiwa …
-
Sintofahamu imeibuka katika klabu ya Yanga sc baada ya staa wa timu hiyo Benard Morrisson kutosafiri na timu huku ripoti zikidai kwamba staa huyo amezima simu. Taarifa za ndani zinadai …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga,Bernard Morrison amesema kuwa miongoni mwa vyakula ambavyo anapenda kula ni ugali. Mghana huyo alitua Desemba akitokea nchini Ghana kwenye usajili wa dirisha dogo ambapo baada …
-
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Kapteni George Mkuchika ameifagilia klabu ya Yanga sc bungeni baada ya kuifunga Simba sc katika mchezo wa watani wa jadi …
-
Kipa namba moja wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya Simba Aishi Manula amempongeza staa wa klabu ya Yanga Benard Morrison baada ya kumfunga bao katika mechi baina …