Habari njema ni kuwa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison anaweza kurejea baada ya hali yake kuimarika kwa haraka baada ya kupata majeraha ya mguu. Morrison alipata majeraha kabla ya mchezo dhidi …
morrison
-
-
Jezi ya kiungo wa Yanga Benard Morrison imeonekana kuwa lulu baada ya mashabiki kuigombania kama njugu hasa wakati wa mchezo baina ya watani wa jadi Yanga na Simba. Kwa mujibu …
-
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison amesema anapofanya mbwembwe uwanjani halengi kuwadhihaki timu pinzani bali ni mahsusi kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki ambao wamelipa viingilio kuingia uwanjani Aidha Bernard ameongeza …
-
Staa mpya wa klabu ya Yanga Benard Morrison ameendelea kuwa gumzo nchini kufuatia kiwango cha hatari anachozidi kuonyesha staa huyo raia wa ghana kuanzia mazoezini mpaka kwenye mechi. Staa huyo …
-
Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison kutoka nchini Ghana mwenye miaka 26 akitokea Orlando Pirates ya nchini Afrika ya kusini. Morisson anakuwa usajili wa kwanza wa …