Mchezaji wa timu ya Yanga sc Benard Morisson amegoma kupanda basi la timu na badala yake alilazimika kuchukua boda boda na kuondoka uwanjani mara baada ya kufanyiwa mabadiliko katika mchezo …
Morrisons
-
-
Bao pekee lililofungwa na Bernad Morrison dakika ya 78 limetosha kuipa alama 3 za mchezo klabu ya Yanga sc katika mchezo wa ligi kuu katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. …
-
Mshambuliaji Benard Morrisson leo amajiunga na wachezaji wnzake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika uwanja wa sheria jijini Dar es salaam. Mchezaji huyo ambaye hivi karibuni ameingia katika mgogoro …
-
Nyota wa Klabu ya Yanga, Benard Morisson ameamua kurudisha fedha dola 30,000 (zaidi ya Milioni 60 za Kitanzania) kutoka Yanga ambazo zilikuwa fedha za usajili wa mkataba mpya wa miaka …
-
Bernard Morrison afunguka juu ya mkataba wake katika klabu ya Yanga sc baada ya taarifa kusambaa kuwa alisaini mkataba mpya wa miaka miwili kabla ya ule wa awali wa miezi …
-
Uongozi wa klabu ya Yanga rasmi umepeleka malalamiko Shirikisho la soka nchini (TFF) kuhusu kushawishiwa winga wake Bernard Morrison kujiunga na klabu nyingine kinyume Cha sheria,ili haki itendeke na hatua …
-
Mastaa tegemeo katika kikosi cha Yanga Kipa Metacha Mnata na Winga Benard Morrison wameachwa katika kikosi cha timu hiyo kilichoondoka leo kuelekea Shinyanga kuwavaa Mwadui fc. Yanga imeondoka leo jijini …
-
Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morrison amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons FC Jeremia Juma …