Winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco ‘Botola Liague’. Mkataba wa awli aliousaini …
Tag:
morrocco
-
-
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania anayeitumikia Klabu ya Difaa El Jadidi inayoshiriki Ligi Kuu ya Nchini Morocco (Batola Pro) Simon Msuva  ameendelea Kung’ara baada ya Hapo  Kufunga bao Pekee Lililoipa …
-
Ligi kuu nchini Morocco Botola pro itakuwa ligi ya kwanza barani Afrika kuanza kutumia Teknolojia ya VAR kwenye mchezo wa ligi hiyo ambayo kesho itaendelea katika Round ya Pili. Taarifa …
-
Timu ya riadha kutoka Tanzania imefanya vibaya katika mashindano ya riadha Afrika yanayoendelea nchini Morocco baada ya wanariadha watatu kushika nafasi ya mwisho katika mashindano hayo. Wanariadha hao  Ally Gulami, …