Jeshi la polisi mkoani Tanga limeendelea kumshikiria Bondia Hassan Mwakinyo kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mkazi wa mkoani humo Mussa Ally kwa kosa la kumtuhumu kuwa ni mwizi baada …
mwakinyo
-
-
Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC) imemfungulia bondia Hassan Mwakinyo kutoka kifungoni baada ya kufanyika kikao cha maridhiano baina ya kambi ya bondia huyo,Kamisheni na kampuni ya PAF Promotions …
-
Kampuni ya PAF Promotion imemfungulia shauri la madai Bondia Hassan Mwakinyo ambalo linatarajiwa kutajwa kwa mara ya kwanza Novemba 13, 2023 katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es …
-
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania Hassan Mwakinyo amefungiwa mwaka mmoja kushiriki mapambano mbalimbali ya ngumi ndani na nje ya nchi kutokana na kosa la kususia pambano dhidi ya …
-
Bondia Matanzania Hassan Mwakinyo ameelezea masikitiko yake juu ya kipigo cha Tko raundi ya nne kutoka kwa Bondia Mwingereza Liam Smith katika pambano lililofanyika Septemba 4 jijini Liverpool nchini Humo. …
-
Bondia Hassan Mwakinyo amefafanua kuhusu kufungiwa kwake na shirikisho la ngumi nchini Uingereza kucheza mapambano ya ngumi nchini humo kwa kipindi cha siku arobaini na tano baada ya pambano lake …
-
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amenyang’anywa mkanda wa ubingwa wa African Boxer Union (ABU) ambao alikua anaumiliki hivyo hana Mkanda wa Ubingwa licha ya kubaki Nafasi ya 14 ya Ubora Duniani …
-
Mtanzania Mwakinyo yupo tayari kwaajili ya pambano la kesho Novemba 13,dhidi ya muagentina Jose Carlos Paz aliyetua nchini Tanzania siku sita zilizopita. Wawili hao tayari wamepima uzito kwa pambano lao …
-
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda katika orodha ya mabondia wenye uzito wa Super Welter baada ya kushinda pambano lake na Mfilipino Tinampay lililofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es …
-
Bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na ushindi mbele ya bondia mfilipino Arnel Tinampay katika pambano la uzito wa juu la raundi 10 lililofanyika uwanja wa uhuru. Mwakinyo aliyepewa sapoti ya kutosha …