Baada ya tetesi za muda mrefu klabu ya Yanga sc imethibitishwa kumuongezea Mkataba nahodha wake Bakari Mwamnyeto ambapo sasa atasalia klabuni hapo kwa miaka miwili zaidi mpaka mwaka 2026 baada …
mwamnyeto
-
-
Beki tegemeo wa klabu ya Yanga sc na Taifa Stars Bakari Mwamnyeto amesaini mkataba wa miaka miwili kusalia klabuni hapo baada ya ule wa awali kumalizika msimu huu. Taarifa kutoka …
-
Ni ubaya ubaya tu..ndivyo tunaweza kusema baada ya klabu ya Simba sc kuanza mazungumzo ya kumsajili beki kisiki wa klabu ya Yanga sc na timu ya Taifa Bakari Mwamnyeto ambaye …
-
Beki wa Coastal Union,Bakari Mwamnyeto amesaini dili la miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga siku ya leo Agosti Mosi. Akiwa Coastal Union Mwamnyeto amekuwa ni nahodha ambaye ameongoza kikosi chake …
-
Kwa mujibu wa bosi anayeshughulikia masuala ya usajili ndani ya klabu ya Yanga Eng.Hersi Said bado siku kadhaa tu watamtambulisha beki kisiki kutoka klabu ya Coastal Union Bakari Nondo Mwamnyeto …
-
Uongozi wa klabu ya Coastal Union ya Tanga umekanusha taarifa zilizoenea kuwa beki wao tegemeo ambaye pia ni beki wa timu ya taifa ya Tanzania  Bakari Mwamnyeto Nondo amesajiliwa na …