Aliyewahi kuwa Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera ambaye alitimuliwa kikosini hapo amezungumzia ishu ya kufutwa kazi kwa Kocha Luc Eymael na kusema Yanga watabaki hivohivo kwa miaka mitano ijayo. Zahera …
mwinyi zahera
-
-
Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera ameipa ushindi klabu ya Yanga sc katika mchezo wa jumapili wa hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho ambao …
-
Kocha wa zamani wa Klabu ya Yanga Mkongo Mwiny Zahera amekataa kazi ya kuifundisha klabu ya Township Roller ya nchini Botswana baada ya kutofahamu kuzungumza lugha za kiingereza. Zahera ambaye …
-
Mashabiki wa soka nchini wamepigwa na taharuki kuhusu bei halisi aliyouzwa aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Yanga Heritier Makambo baada ya aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu hiyo …
-
Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera amekana tetesi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinazomuhusisha kurejea Yanga Zahera aliyeweka makazi yake nchini, amesema hakuwasiliana na kiongozi yeyote wa Yanga kuhusu …
-
Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera ameonyesha kukubaliana na mbinu za kocha mpya wa klabu ya Yanga Luc Aymael ambaye amejiunga na klabu hiyo hivi karibuni. Kocha huyo Mbeligiji …
-
Kocha wa zamani wa yanga Mwinyi Zahera ametoa pongezi Yanga kwa usajili wa kiungo mpya kutoka Tp Mazembe Owen Bonyanga Ituku. Zahera amesema kuwa anamfahamu vizuri sana mchezaji huyo hana …