Nahodha wa klabu ya Watford, Troy Deeney amesema kuwa hataweza kuripoti kwenye mazoezi ya timu hiyo kutokana na hofu ya maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia. Wachezaji wengi …
nahodha
-
-
Kocha Mwinyi Zahera amewateua Papy Kabamba Tshitshimbi na Mrisho Ngasa kuwa manahodha wapya kuelekea msimu mpya wa ligi kuu na michuano ya kimataifa ambayo timu hiyo itashiriki. Zahera amefikia uamuzi …
-
Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndayiragije amemteua mshambualiaji wa Simba sc John Boko kuwa nahodha wa kikosi hicho kuelekea katika mechi ya mtoano dhidi ya Kenya kuwania kufuzu …
-
Kipa wa manchester united David De Gea anajiandaa kusaini mkataba mpya klabuni hapo utakaomfanya kuwa golikipa anayelipwa zaidi duniani. Mkataba huo mpya wa miaka sita utamfanya kipa huyo kuweka kibindoni …
-
Mshambualiaji wa Yanga Amis Tambwe amemsihi kocha Mwinyi Zahera kumrejeshea unahodha beki Kelvin Yondani kutokana na ukongwe na uzoefu wa beki huyo aliyejiunga na Yanga toka mwaka 2012. Tambwe aliyetemwa …