Klabu ya Namungo Fc maarufu kama Wauaji wa Kusini tayari wamewasili mjini Bukoba kwa ajili ya mchezo dhidi ya Kagera sugar utakaopigwa uwanja wa kaitaba siku ya Jumatano Oktoba 4,2023. …
Namungo fc
-
-
Kocha mkuu wa Namungo Fc,Cedric Kaze amesema licha ya Yanga Sc kuwa kwenye kiwango bora ila yeye kama mkuu wa benchi ya ufundi hawaogopi Yanga Sc huku akitanabaisha kuwa anawajua …
-
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Sc Ali Kamwe ameweka wazi kuwa nahodha wa klabu hiyo Bakari Mwamnyeto tayari amerejea kikosini humo baada ya kukosekana …
-
Klabu ya Simba sc imewasili salama mkoani Mtwara katika wilaya ya Ruangwa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc utakaofanyika katika uwanja wa Majaliwa uliopo wilayani …
-
Ushindi wa 2-0 ilioupata klabu ya Yanga sc dhidi ya Namungo Fc umeifanya klabu hiyo kurejea katika michuano ya kimataifa ikiwa kileleni mwa ligi kuu nchini ambapo imefanikiwa kuwa na …
-
Timu ya Namungo Fc imetolewa katika michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea Visiwani Zanzibar baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-4 kutoka kwa Mlandege katika changamoto ya mikwaju ya penati …
-
Licha ya mashabiki wa klabu ya Simba sc kukosa imani na kikosi chao bado kikosi hicho kimeweza kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo Fc mchezo wa ligi kuu …
-
Taarifa zinasema Uongozi wa Klabu ya Simba upo kwenye mazungumzo ya kutaka kumrejesha kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya katika kikosi cha Wekundu hao kwa ajili ya msimu ujao wa ligi 2022/23. …
-
Klabu ya Simba sc imelazimishwa sare ya 2-2 na Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa Ilulu mkoani Lindi jioni ya leo. Simba sc ambayo …
-
Kiungo Khalid Aucho ambaye alikua na majeruhi kwa wiki kadhaa tayari amerejea kikosini Yanga sc ambapo ameonekana akifanya mazoezi na wenzake baada ya kumaliza programu ya utimamu wa mwili. Kiungo …