Klabu ya Yanga sc itacheza mchezo wake wa ligi kuu nchini dhidi ya Namungo Fc siku ya Jumamosi April 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam ikiwa …
Namungo fc
-
-
Kocha msaidizi wa klabu ya Namungo Fc Jamhuri Kihwelo amelalamika kuwakosa baadhi ya wachezaji wake wa mkopo katika mchezo dhidi ya Azam Fc ambapo klabu yake ya Namungo fc ililala …
-
Klabu ya Namungo FC itakayoshiriki mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) imevunja mkataba na kocha wake Hitimana Thiery raia wa Burundi kwa makubaliano ya pande zote …
-
Mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania,Sixtus Sabilo ametambulishwa rasmi leo ndani ya Namungo Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja. Sabilo amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja ndani ya Polisi …
-
Namungo Fc ya Lindi imeamua kumalizana na mchezaji kutoka Lipuli Fc,Fredy Tangalo ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili akiwa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake kuisha. Huu ni usajili …
-
Msimu mpya wa ligi kuu utafunguliwa Agosti 29 wakati Simba Sc ambao ni mabingwa wa ligi kuu wakiwakaribisha Namungo Fc kwenye mchezo wa ngao wa jamii utaochezwa mkoani Arusha,uwanja wa …
-
Kikosi cha Simba kimewasili leo jijini kikitokea Sumbawanga ambapo kilikuwa na mchezo wa fainali dhidi ya Namungo FC ambao walipigwa mabao 2-1 katika Uwanja wa Nelson Mandela. Wanamsimbazi hao wamerejea …
-
Kiungo wa Simba Sc, Luis Miquissone leo Agosti 2,2020 amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam. Luis amehusika kwenye mabao yote mawili ya …
-
Klabu ya Simba Sc imetwaa taji lake la tatu leo ndani ya msimu wa 2019/20 ambayo ilianza na ngao ya jamii, kwa ushindi wa mabao 4-2 mbele ya Azam FC Uwanja …
-
Timu ya Simba SC wametwaa ubingwa wa ASFC baada ya kuifunga Namungo FC mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa leo Agosti 2,uwanja wa Nelson Mandela mkoani Sumbawanga. Kombe hili kwa Simba …