Klabu ya Namungo Fc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 6-2 dhidi ya Primera de Augosto katika mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika uliofanyika katika uwanja wa chamazi jijini …
namungo
-
-
Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya sita inaendelea leo Octoba 14,ambapo timu nane zitavaana katika viwanja vinne tofauti kwaajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Raundi ya tano ilimalizika na kuwaacha …
-
Azam Fc iliyochini ya kocha mkuu Arstica Cioaba ambaye pia ni raia wa Romania inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC leo majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja …
-
Uongozi wa Azam FC umesema kuwa mashabiki wasikose kesho kujitokeza kwa wingi uwanja wa Azam Complex kwenye kilele cha Azam Festival kwani kutakuwa na burudani za kutosha zilizoandaliwa kwa ajili …
-
Mshambuliaji wa timu ya Namungo FC, Bigirimana Blaise amesema mchezo wa kesho dhidi ya Simba utakuwa mgumu lakini wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri katika nafasi tatu …
-
Nahodha wa Namungo Reliant Lusajo ameiweka njia panda klabu yake ya Namungo Fc baada ya kugoma kusaini mkataba mpya huku akitoa masharti ya kutimizwa. Klabu hiyo ilifanya mazungumzo na meneja …
-
Timu ya Namungo iliyovunja rekodi ya Tanzania Prisons kwa kuwapa kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo wa ligi imejiandaa kuwapa dozi Mbao Fc kwenye mchezo ujao wa ligi kuu nchini. …
-
Katika maandalizi kuelekea mechi dhidi ya Simba sc katika mchezo wa ngao ya hisani Azam imeifunga Namungo mabao 8-0 katika mchezo uliofanyika uwanja wa chamazi complex hapo jana. Azam ambao …
-
Mshambuliaji wa zamani wa Lipuli Fc Adam Salamba amesajiliwa na timu ya Namungo Fc kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Simba sc baada ya kutopata nafasi kikosi cha kwanza katika …