Licha ya kuiongoza Napoli kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Genk na kufuzu hatua ya mtoano timu ya Napoli imemtimua kocha huyo saa moja baada ya mechi hiyo. …
Tag:
Napoli
-
-
Timu ya Krc Genk anayoichezea Mtanzania Mbwana Samatta imetolewa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-0 mbele ya Napoli katika mchezo …