Baada ya juzi kufunga mabao mawili kwenye mchezo dhidi ya Alliance Fc, mshambuliaji wa Yanga Ditram Nchimbi amesema atahakikisha anafunga mabao mengi zaidi katika michezo iliyobaki Kabla ya mabao yake …
nchimbi
-
-
Nyota wawili wa Yanga Ditram Nchimbi na Feisal Salum wanatarajiwa kuelekea nchini Misri kufanya majariboio kunako klabu ya Smouha inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo Nyota hao huenda wakaondoka Januari …
-
Upo uwezekano mkubwa Yanga itamuuza mshambuliaji wake Ditram Nchimbi kwa klabu moja inayoshiriki ligi kuu ya Misri Timu hiyo ambayo kwa sasa haitawekwa wazi, iko kwenye mazungumzo na uongozi wa …
-
Pamoja na kusuasua kwenye kuzifumania nyavu katika michezo ya hivi karibuni, mshambuliaji wa Yanga David Molinga amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo akiwahakikishia kuwa atauwasha moto mechi ijao Jana katika …
-
Mshambuliaji wa timu ya Polisi Tanzania Ditram Nchimbi ameongezwa katika kikosi cha wachezaji walioitwa na kocha Ettiene Ndayiragije kujiunga na kambi ya Taifa stars inayojiandaa na mchezo dhidi ya Rwanda …