Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hanour Janza amethibitisha kumuongeza Kiungo wa klabu ya Singida Big Stars Said Ndemla katika kikosi hicho kutokana na kuongezeka kwa …
Tag:
Ndemla
-
-
Aliyekua kiungo wa klabu ya Simba sc Said Ndemla ambaye alimalizia msimu akiitumikia klabu ya Mtibwa Sugar kwa mkopo inasemekana tayari amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya …
-
Kiungo wa klabu ya Mtibwa Sugar Said Ndemla ameikoa klabu yake kukosa alama tatu baada ya kufanikiwa kufunga bao katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo uliofanyika …
-
Kocha wa klabu ya Simba Sven Vandebroek amesema bado anamhitaji kiungo Said Ndemla katika klabu hiyo licha ya kumuweka benchi katika michezo mbalimbali. Kocha huyo raia wa Uholanzi amesema hayo …