Mshambuliaji Neymar Dos Santos yupo mbioni kuachana na klabu yake ya Al Hilal Fc ya nchini Saudi Arabia kwa makubaliano ya pande mbili kutokana na kuandamwa na majeraha ya mara …
neymar
-
-
Mshambuliaji wa Al Hilal Neymar Jr hana tena furaha huko Saudia Arabia hii ni baada ya kuwa na mzozano na kocha wake Jorge Jesus kwenye mechi dhidi ya Navbahor katika …
-
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil Neymar Dos Santos amekamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya Al Hilal Fc ya nchini Saud Arabia kwa dau la paundi milioni 86 …
-
Neymar yuko tayari kukubali kupunguza asilimia ya mshahara wake kwa asilimia 50′ ili aondoke majira ya joto kutoka Paris Saint-Germain kurudi Barcelona… Nyota huyo wa Brazil amekuwa akihusishwa mara kwa …
-
Mshambuliaji namba moja ndani ya Barcelona,Lionel Messi bado yupo kwenye harakati za kuwashawishi viongozi wa klabu yake kuipate saini ya mchezaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Brazil,Neymar …
-
Licha ya kutanguliwa kufungwa bao moja timu ya Paris St.German ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Bourdeaux katika mchezo wa ligi kuu nchini Ufaransa(Ligue 1). mchezo ulimalizika …
-
Timu ya Juventus imetuma ofa ya mshambuliaji Paulo Dybala na kiasi cha fedha kwenda Psg ili kumnasa mshambuliaji Neymar ambaye ameonesha nia ya kuondoka jijini Paris huku Barcelona na Real …
-
Mshambualiaji wa Brazil Neymar amemwambia mkurugenzi wa timu ya Paris st German(PSG) kuwa anataka kuondoka klabuni hapo katika majira haya ya kiangazi huku ikitajwa kuwa mchezaji huyo anataka kurejea Barcelona. …
-
Saa saba ya maajabu msimbazi imewadia kwa timu hiyo kumpa mkataba wa miaka miwili Beki wa Kimataifa kutoka Brazil Gerson Fraga Vieira mwenye miaka 26 akitokea katika Timu ATK ya …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Brazil Adenor Bacchi maarufu kama Tite amemuita winga wa chelsea ya Uingereza Wilian kuchukua nafasi ya Neymar katika kikosi cha timu ya taifa hilo …