Kiungo wa klabu ya Simba Sc Fabrice Ngoma amefikia makubaliano binafsi ya kujiunga na klabu ya Al-Ittihad Tripoli ya Libya. Tayari staa huyo amepokea ofa nono ya Mshahara na dau …
Tag:
ngoma
-
-
Kiungo wa klabu ya Simba Sc Fabrice Ngoma ameanza kujiengua klabuni hapo mdogo mdogo kwa kuanza kufuta baadhi ya picha zake akiwa na jezi ya klabu hiyo katika mitandao yake …
-
Kiungo wa klabu ya Simba sc Fabrice Ngoma amewapa masharti viongozi wa klabu hiyo kusajili mastaa wa maana ili asalie kikosini humo na ikiwa vinginevyo basi anaweza kuachana na klabu …
-
Azam FC imemuongezea mkataba mshambuliaji , Obrey Chirwa huku uongozi wa timu hiyo umeonekana hauna mpango wa kumuongezea mkataba nyota wake, Donald Ngoma. Uongozi wa Azam FC Unadai kuwa Ngoma …
-
TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba mjini …