Mtanzania Mwakinyo yupo tayari kwaajili ya pambano la kesho Novemba 13,dhidi ya muagentina Jose Carlos Paz aliyetua nchini Tanzania siku sita zilizopita. Wawili hao tayari wamepima uzito kwa pambano lao …
ngumi
-
-
Bondia Deontay Wilder ametemana na kocha wake Mark Breland baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Muingereza Tyson Fury siku ya Jumapili Asubuhi. Bondia huyo alipigwa kwa TKO raundi ya …
-
Bondia Mmarekani, Deontay Wilder, amesema uzito wa nguo alizovaa ndio sababu kubwa ya yeye kupoteza pambano lake dhidi ya bondia, Tyson Fury. Bondia huyo mwenye vituko, alivaa nguo zilizotengenezwa na …
-
Bondia Tyson Furry amefanikiwa kumpiga bondia Deontay Wilder na kuchukua ubingwa wa dunia wa uzito wa juu katika pambano lililofanyika leo Las Vegas Marekani. Pambano hilo lililotikisa dunia katika mizani …
-
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda katika orodha ya mabondia wenye uzito wa Super Welter baada ya kushinda pambano lake na Mfilipino Tinampay lililofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es …
-
Bondia wa Marekani Patrick Day 27,ambaye alikuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi tangu siku ya Jumamosi usiku baada ya kujeruhiwa vibaya katika pambano la ndondi ya kulipwa amefariki. Bondia …
-
Bondia Hassan Mwakinyo anatarajiwa kupambana na bondia raia wa ufilipino Arney Tinampay katika pambano la uzito la Super welter litakalofanyika katika uwanja wa Uhuru nchini tarehe 29 Novemba pambano linalotarajiwa …
-
Bondia Athony Joshua na mpinzani wake Andy Luiz wanatarajiwa kupigana kwa mara ya pili mwezi disemba nchini Saudi Arabia baada ya tambo za muda mrefu. Mabondia hao ambao katika pambano …
-
Bondia kutoka nchini Ajentina Hugo Santillan mwenye umri wa miaka 23 amefariki dunia kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kupambana na Eduardo Abreau taarifa iliyothibitishwa na shirikisho la ngumi duniani. …
-
Tyson Fury anaamini bingwa wa zamani wa dunia Anthony Joshua ni “ameisha” baada ya mshtuko wa kushindwa na Andy Ruiz Jr. Joshua, 29, aliacha mkanda wa IBF , WBA na …