Timu ya Namungo Fc imeamua kuachana na masta waliokua wakiitumikia klabu hiyo kwa Mkopo kutoka Simba sc Mohamed Ibrahim na Paul Bukaba kutokana na kuonyesha utovu wa nidhamu uliokithiri. Awali …
Tag:
nidhamu
-
-
Klabu ya Simba imewaweka kitimoto wachezaji wanne wa klabu hiyo kutokana na utovu wa nidhamu.Katika taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imesema wachezaji hao watatakiwa kujieleza pindi watakapomaliza majukumu yao ya …
-
Kiungo wa Simba sc Jonas Mkude ameingia matatani baada ya kuchelewa kuripoti kambini baada ya kupewa ruhusu hivyo kuchelewa ndege kwenda kanda ya ziwa ambapo timu hiyo ilikwenda kucheza michezo …
-
Kocha mkongomani wa Yanga Mwinyi Zahera amewashangaa viongozi wa timu hiyo kuanza mazungumzo na Mshambuliaji Ibrahim Ajib ili kuongeza mkataba wa kuitumikia klabu hiyo ya Jangwani baada ule wa awali …