Shirikisho la soka Duniani (Fifa) limeitwanga barua klabu ya Yanga sc kukamilisha malipo ya ununuzi wa mchezaji Augustine Okrah inayodaiwa na klabu yake ya zamani Benchem United ya nchini Ghana. …
Tag:
okrah
-
-
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Agustine Okrah amejiunga na klabu ya Bechem United ya Ghana baada ya kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande zote mbili …
-
Sasa rasmi klabu ya Simba sc imetangaza kuachana na winga Augustine Okrah baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu mmoja pekee huku majeraha ya mara kwa mara pamoja na matatizo …