Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho na mshambuliaji Emmanuel Okwi ni miongo mwa wachezaji 30 walioitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda kitakachoingia kambini hivi karibuni kwa ajili ya …
okwi
-
-
Wachezaji Mudathir Yahaya na Aggrey Morris waliosimamishwa na klabu ya Azam Fc wapo mbioni kujiunga na klabu ya Simba sc iliyoonesha nia ya kuwasaini wote wawili pindi mazungumzo yatakapokamilika. Wachezaji …
-
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Simba sc zinadai kuwa mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo mbioni kurejea klabuni hapo baada ya kuvunja mkataba na waajiri wake timu ya Alexandria inayoshiriki ligi …
-
Inadaiwa mambo ya mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba sc Emmanuel Okwi katika klabu ya Al Ittihad nchini Misri baada ya kucheza mechi 14 ndani ya timu yake hiyo …
-
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Simba sc Emmanuel Okwi amekumbwa na ukame wa mabao baada ya kucheza mechi tatu za ligi kuu nchini Misri na kushindwa kufunga bao. Okwi …
-
Timu ya Simba sc imewatoa kwa mkopo nyota wake sita kwenda timu zingine ili wapate nafasi ya kucheza baada ya kukosa nafasi katika timu hiyo huku ikiachana na nyota saba …
-
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uganda(The cranes) Emmanuel Okwi yupo mbioni kukamilisha uhamisho wa kujiunga na timu inashiriki ligi kuu ya uarabuni (UAE) Fujairah Fc. Okwi mpaka sasa ni …
-
Ni kama Timu ya taifa ya Uganda imeshafuzu hatua ya mtoano wa michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri baada ya jana kuibuka na ushindi wa magoli mawili kwa moja dhidi …
-
Ile inshu ya kuongeza mkataba ya staa wa Simba Emmanuel Okwi ni kama inaelekea mwishoni baada ya staa huyo kukubaliana baadhi ya vipengele na vigogo wa Simba walioko nchini Misri …
-
Mganda Emmanuel Okwi amesaidia timu yake ya taifa kuibuka na ushindi wa magoli mawili kwa bila dhidi ya Kongo inayonolewa na kocha wa Yanga sc Mwinyi Zahera ambaye anamsaidia Frolent …