Tetesi zinaeleza kuwa bosi wa Manchester United ,Ed Woodward hatasita kumfuta kazi kocha mkuu wa miamba hiyo ya Oldtrafford,Ole Gunnar Solskajaer kama Man United itaendelea kupata matokeo mabovu msimu huu. …
Tag:
ole gunnar Solskajaer
-
-
Manchester United imeshushiwa mvua ya mabao 6-0 na Tottenham Hotspurs katika mchezo wa jana wa ligi kuu England uliofanyika Old Trafford na kupoteza pointi tatu muhimu mbele kikosi hicho kinachonolewa …
-
Miongoni mwa dili ambalo limezungumzwa kwa muda wote na halijaonesha mafanikio ndani ya Manchester united ni la Jadon Sancho ambaye ameifungia Borrusia Dortmund jumla ya mabao 20 msimu uliopita na …