Taarifa kutoka Nchini Kenya zimethibitisha kuwa Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba sc Joash Onyango anaweza kutimka klabuni kabla ya mechi za mwisho wa msimu huu kumalizika kutokana na …
Tag:
onyango
-
-
Beki wa kati wa Simba, Joash Onyango amegomea kwenda nchini Sudan kwa ajili ya kucheza mechi mbili za kimataifa za kirafiki dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana na Al Hilal …
-
Beki wa klabu ya Simba sc Joash Onyango (28) raia wa amekataa ofa mpya aliyopewa na klabu ya Simba kwa ajili ya kuongeza mkataba mpya katika klabu hiyo hivi karibuni. …
-
Inasemekana kwamba beki wa klabu ya Simba sc Joash Onyango amegoma kuongeza mkataba klabuni hapo akihitaji kulipwa mshahara wa dola elfu tano kwa mwezi huku akihitaji dau la usajili linalokadiriwa …
-
Nyota wa zamani wa klabu ya Gor Mahia,Joash Onyango ametambulishwa rasmi leo ndani ya Simba sc baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu hiyo. Onyango alishawahi kufanya kazi …