Ivory Coast
Pacome
-
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Pacome Zouzoua anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani siku kumi akiuguza majeraha ya enka aliyoyapata katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc …
-
Staa wa klabu ya Yanga sc Pacome Zouzoua amewasili nchini usiku wa jana kuja kuungana na timu yake kuwahi maandalizi ya mwisho ya mchezo wa hatua ya robo fainali baina …
-
Kiungo wa Klabu ya Yanga Sc Pacome ZouZou ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ivory Coast kuchukua nafasi ya Ibrahim Sangare, anayeitumikia Klabu ya Nottingham Forest ya Uingereza …
-
Bao la kusawazisha alilolifunga kiungo wa Yanga Sc Pacome Zouzoua katika mchezo dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa bao bora la wiki katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayoendelea …
-
Viungo washambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Azizi Ki na Pacome Zouzoua wamezua hofu kuelekea mchezo dhidi ya Simba kutokana na majeraha ambayo waliyapata katika mchezo uliopita dhidi ya …