Yanga SC
Pamba Jiji Fc
-
-
Pamba Jiji Fc
-
Azam Fc Yatua Kwa Yona Amos
-
Sasa ni rasmi klabu ya soka ya Kagera Sugar Fc imeshuka daraja mpaka ligi daraja la kwanza kwa msimu ujao baada ya klabu ya Kengold Fc kukubali kipigo cha mabao …
-
Msafara wa klabu ya Pamba jiji Fc umepata ajali maeneo ya Bahi mkoani Dodoma ukiwa njiani kutokea Bukoba mkoani Kagera kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa kombe la …
-
Haishikiki na wala haikamatiki,Ndio unavyoweza kusema kutokana na mfululizo wa ushindi inaopata klabu ya Yanga sc katika michuano ya ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuibamiza Pamba Jiji Fc …
-
Klabu ya Pamba Jiji Fc imekabidhiwa fedha taslimu shilingi milioni 10 kutoka kwa uongozi wa klabu hiyo ikiwa ni hamasa kuelekea mchezo wa kesho ijumaa dhidi ya Yanga sc. Zawadi …
-
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Deus Kaseke ameisaidia klabu yake ya Pamba Jiji Fc kuibuka na alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini …
-
Beki wa klabu ya Simba Sc Che Malone Fondoh pamoja na mshambuliaji wa klabu hiyo Lionel Ateba wameizawadia klabu ya Pamba Jiji Fc beki Cherif Ibrahim aliyejiunga na klabu hiyo …
-
Winga wa zamani wa klabu ya Yanga sc na Singida Big Stars Deus Kaseke amejiunga na klabu ya Pamba Jiji Fc kwa mkataba wa miezi sita akiwa kama mchezaji huru. …