Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Klabu ya Yanga sc Ally Kamwe anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Tabora kwa makosa ya kutoa maneno ya udhalilishaji dhidi ya …
polisi Tanzania
-
-
Klabu ya Yanga sc imeendelea kusimamisha mnara wa mabao matano baada ya kuibamiza Polisi Tanzania kwa mabao 5-0 katika mchezo wa kombe la shirikisho la Azam Sports hatua ya 32 …
-
Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera amekamilisha dili la kujiunga na klabu ya Polisi Tanzania kwa mkataba wa miezi sita mpaka mwishoni mwa msimu huu wa …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuibuka alama tatu katika mchezo wa ligi kuu nchini dhidi ya Polisi Tanzania baada ya kuifunga mabao 3-1 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Ushirika …
-
Mchezaji wa klabu ya Polisi Tanzania Said Juma Makapu haonekani katika klabu hiyo tangu alipoondoka siku moja kabla ya mchezo wa ligi kuu baina ya klabu hiyo na Simba sc …
-
Beki Kelvin Yondani ametua katika klabu ya Polisi Tanzania kama mchezaji huru baada ya kuachana na Yanga sc msimu uliopita kutokana na kushindwana katika maslahi. Beki huyo mkongwe ametua Polisi …
-
Cedric Kaze ambaye ni kocha mkuu wa Yanga Sc tayari ameshaanza kazi ya kukinoa kikosi hicho cha Jangwani ambacho Novemba 22,kitavaana na Polisi Tanzania uwanja wa Mkapa. Kocha huyo aliyesaini …
-
Polisi Tanzania inazidi kukisuka upya kikosi chake tayari kwa msimu ujao wa ligi kuu bara ambapo hivi leo wameidaka saini ya mchezaji wa Simba Sc ,Rashidi Juma kwa kandarasi ya …
-
Uongozi wa Polisi Tanzania umemalizana na mshambuliaji, Ramadhani Kapera aliyekuwa anakipiga ndani ya KMC. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amesaini kandarasi ya mwaka mmoja Polisi Tanzania akiwa ni …
-
Mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania,Sixtus Sabilo ametambulishwa rasmi leo ndani ya Namungo Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja. Sabilo amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja ndani ya Polisi …