Baada ya kocha wa Simba Patrick Aussems kuwasili leo usiku habari za ndani zinadai Aussems hakuwa Belgium kwao, bali alikuwa nchini Afrika ya kusini kuzungumza na Klabu ya Polokwane city …
Tag:
polokwane city
-
-
Baada ya Simba sc kuthibitisha kumuongezea mkataba mshambuliaji John Boko wa miaka miwili utata umezuka baada ya taarifa kusambaa kuwa mchezaji huyo pia alisaini mkataba wa awali na Polokwane City …