Staa wa soka duniani Ronaldinho Gaucho hatimaye amefanikiwa kutoka gerezani nchini Paraguay baada ya kukaa kwa siku 32 kwa kosa la kukutwa na pasipoti ya kusafiria ambayo ni feki. Staa …
prisons
-
-
Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morrison amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons FC Jeremia Juma …
-
Klabu ya Yanga sc imetozwa faini ya kiasi cha shilingi milioni tano baada ya kushindwa kuwasilisha fomu ya wachezaji kwenye kikao cha maandalizi ya Mechi namba 220 kati ya Yanga …
-
Timu ya Tanzania Prisons imepewa ushindi wa pointi tatu na mabao matatu kwenye mchezo uliokuwa ufanyike Februari 11, 2020 baada ya Ruvu Shooting ambayo ndiyo timu mwenyeji kushindwa kuleta gari …
-
Wachezaji Mohamed Issa Banka na Tariq Seif Kiakala wameanza katika kikosi cha kwanza cha Timu ya Yanga kitakachowavaa Prisons mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kikosi hicho kilichtolewa na mitandao …
-
Jumamosi kikosi cha Yanga kitashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Mchezo huo utapigwa saa moja jioni Bila shaka itakuwa siku nyingine …
-
Staa mpya wa klabu ya Yanga Benard Morrison ameendelea kuwa gumzo nchini kufuatia kiwango cha hatari anachozidi kuonyesha staa huyo raia wa ghana kuanzia mazoezini mpaka kwenye mechi. Staa huyo …
-
Mabosi wa Yanga wanafanya kila liwezekanalo kumalizana mapema na mabosi wa Tanzania Prisons ili kuwasajili nyota wawili wa timu hiyo winga Ismail Aziz na kiungo Cleophas Mkandala Dirisha dogo la …
-
Timu ya Prisons imefanikiwa kulazimisha suluhu na Simba sc katika mchezo uliomalizika jioni hii katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam. Mchezo ulioanza kwa kasi ukitawaliwa na krosi nyingi …
-
Aliyekua kipa namba moja wa Yanga Benno Kakolanya amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Simba Sc akisaini kama mchezaji huru baada ya mkataba wake na klabu ya Yanga sc …