Bayern Munich imeitungua mabao 3-0 Lyon kwenye mchezo wa nusu fainali hatua ya Ligi ya Mabingwa Ulaya siku ya jana. Bao la kwanza na la pili lilipachikwa na Gnabry dakika …
Psg
-
-
PSG wamefanikiwa kuibuka wababe na kutinga mazima hatua ya fainali ligi ya mabingwa ulaya baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Leipzig mjini Lisbon siku ya jana katika mchezo wa …
-
Nyota anayekipiga ndani ya klabu ya AC Milan,Zlatan Ibrahimovic amewekwa kwenye rada za Hammarby ya nchini Sweden ambayo inataka saini yake pindi akimalizana na timu yake ya sasa. Mkataba wa …
-
Nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Juvevtus, Miralem Pjanic amegomea dili la kujiunga Manchester United na PSG licha ya habari kueleza kuwa ana mpango wa kusepa ndani ya Juventus kutokana …
-
Kikosi cha Amiens nchini Ufaransa nacho kimeanza mchakato wa kisheria dhidi ya maonevu baada ya kuteremshwa daraja kwenye ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) msimu huu huku Paris Saint-Germain (PSG) …
-
Mshambuliaji wa wakidachi ,Memphis Depay ameripotiwa anaweza kuhama Olympique Lyon baada ya timu hiyo kushindwa kufuzu michuano ya Ulaya kutokana na msimu wa Ligue 1 kusitishwa na bingwa kutangazwa PSG …
-
Neymar yuko tayari kukubali kupunguza asilimia ya mshahara wake kwa asilimia 50′ ili aondoke majira ya joto kutoka Paris Saint-Germain kurudi Barcelona… Nyota huyo wa Brazil amekuwa akihusishwa mara kwa …
-
Manchester United imeingia vitani na Paris Saint German kuwania saini ya mchezaji wa Leicester City ,Wilferd Ndindi ambaye ni kiungo tegemeo kwenye klabu yake hata kuwavutia miamba hiyo ya Ulaya …
-
Baada ya PSG kutangazwa kuwa ni mabingwa wa ligi kuu Ufaransa ‘Ligue 1’na  kufahamika kuwa ligi hiyo haiwezi kuendelea tena kwa msimu huu, beki ambaye pia ni nahodha wa timu …
-
Klabu ya PSG imetagazwa mabingwa wa ligi kuu nchini Ufaransa Ligue 1 baada ya serikali kuamua kufuta michezo yote kwa mwaka huu kutokana na janga la ugonjwa wa covid-19. Awali …