Timu ya Yanga sc imerejea nchini baada ya kumaliza michuano ya kimataifa huku ikiondoshwa katika michuano hiyo baada ya kukosa nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe …
pyramids
-
-
Timu ya Yanga imetolewa nje ya michuano ya kimataifa baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Pyramids fc katika mechi ya marudiano ya hatua ya kufuzu makundi iliyofanyika …
-
Timu ya Yanga itaondoka nchini kesho kwenda nchini Misri kuifata Pyramids fc kucheza mchezo wa marudiano wa kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika. …
-
Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hawezi kuwasikiliza mashabiki wanachokisema kwa sasa baada ya kufungwa na Pyramids FC bali anawasiliana na uongozi ambao ulimpa mkataba. Hayo yamekuja kufuatia mashabiki …
-
Kufuatia kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Pyramids Fc kocha wa timu ya Yanga sc Mwinyi Zahera ameingia matatani baada ya mashabiki wa klabu hiyo kumtaka ajiuzuru baada ya kutopata …
-
Timu ya Pyramids Fc imetua jijini Mwanza jana kwa kutumia ndege ya kukodi ambayo iliwatoa moja kwa moja kutoka nchini Misri mpaka jijini Mwanza kucheza mchezo wa kimataifa dhidi ya …
-
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameahidi kitita cha shilingi milioni 100 kwa wachezaji wa timu hiyo endapo watafanikiwa kuitoa Pyramids fc na kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe …
-
Wakati kikosi cha timu ya Yanga kikitarajiwa kuwasili jijini humo leo ijumaa uongozi wa matawi ya timu hiyo jijini humo umewaandalia mapokezi ya kibabe mabingwa hao wa kihistoria nchini. Yanga …
-
Kufuatia presha ya mashabiki timu inapocheza jijini Dar es salaam klabu ya Yanga imeamua kuhamishia michezo yao ya kimataifa jijini Mwanza ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo dhidi ya …
-
Klabu ya Yanga sc imepangwa kucheza na timu ya Pyramid fc ya nchini Misri katika droo ya michuano ya kombe la shirikisho iliyofanyika jana kwa hatua za mtoano ili kufuzu …