Gormahia ambao ni mabingwa mara 19 wa ligi kuu ya Kenya (KPL) wamejinasia huduma za kocha mpya,Roberto Oliveira ambaye atakuwa mbadala wa mwingereza Steven Polack aliyejiuzulu usiku wa Octoba 8,akiwa …
Tag:
rayon sport
-
-
Mshambuliaji mpya wa Yanga Sc ,Michael Sarpong ameweka wazi kuvutiwa na ushindani uliopo ligi kuu ya Vodacom baada ya kushiriki mechi mbili msimu huu. Sarpong aliyetua Yanga mwezi uliopita akitokea …
-
Beki wa kushoto kutoka Rwanda anayeichezea Rayon Sports,Eric Rutanga kwa sasa ni mali ya Yanga Sc baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili ili kuitumikia timu hiyo. Rutanga amesema kuwa …
-
Raia wa Ghana ambaye pia ni mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Rayon Sports ya Rwanda,Michael Sarpong anasemekana kutua ndani ya klabu ya Yanga baada ya kusitishiwa mkataba wake na …