Christian Ronaldo afikisha mabao 101 ya kitaifa na kuweka rekodi mpya ya mwanasoka wa kwanza bara la Ulaya,akiwa katika timu ya taifa ya Ureno. Rekodi hii inafikishwa kwa mabao 2-o …
ronaldo
-
-
Ligi kuu nchini Hispania(La liga) inatarajiwa kurejea rasmi mwezi ujao kwa mujibu wa Rais wa ligi hiyo Javier Tebas huku msimu ujao ukitarajiwa kuanza Septemba 12. Bosi huyo pia alibainisha …
-
Mario Balotelli ameamua kumtema nyota wa Juventus na Ureno Christiano Ronaldo katka kikosi chake cha wakati wote. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29Â amewaorodhesha wachezaji wawili tu wa ligi …
-
Klabu ya Juventus, huenda ikalazimika kumuuza nyota wake Cristiano Ronaldo, kutokana na kutikisika kiuchumi wakati huu wa janga la virusi vya Corona na klabu hiyo ipo katika hatari ya kushindwa …
-
Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amefikisha idadi ya magoli 98 katika timu yake ya taifa pamoja na hat-trick 9 katika timu hiyo. Nyota huyo jana …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Ettiene Ndayiragije na nahodha wa kikosi hicho Mbwana Samatta wametofautiana katika kupiga kura ya mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume baada …
-
Orodha ya wachezaji kumi bora watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia imetoka huku mastaa Christiano Ronaldo na Lionell Messi wakiongoza katika orodha hiyo ambayo itapigiwa kura na manahodha na …