Endapo klabu ya Yanga sc itafanikiwa kupata ushindi katika michezo saba ijayo ya ligi kuu basi itafanikiwa kushinda ubingwa wake wa ishirini na tisa nchini hasa baada ya kuifunga 1-0 …
ruvu shooting
-
-
Klabu ya Yanga sc imeshindwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting uliofanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma baada ya mchezo huo kumalizika …
-
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Ally Sonso amefariki dunia tarehe 11/2/22 jioni katika hospitali ya Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu ya mguu ambao ulianza kumsumbua mwaka jana mwezi …
-
Licha ya tambo za hapa na pale,jana msemaji wa Ruvu Shooting Masau Bwire alikua kimya baada ya mchezo wa Yanga sc dhidi ya timu yake kumalizika kwa Yanga sc kuibuka …
-
Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya sita inaendelea leo Octoba 14,ambapo timu nane zitavaana katika viwanja vinne tofauti kwaajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Raundi ya tano ilimalizika na kuwaacha …
-
Msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara unaoanza leo Septemba 6 unakutanisha timu 12 kuvaana katika viwanja tofauti ili kusaka pointi tatu muhimu kwani zote zinahitaji kutwaa taji la ligi …
-
Klabu ya Simba sc imeshindwa kuibuka na ushindi dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Simba sc …
-
Timu ya soka ya Simba sc imeendelea kusimama kileleni mwa ligi kuu ya soka Tanzania bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting  jioni ya …
-
Licha ya kuzagaa kwa tetesi za kusitishiwa ajira yake kunako klabu ya Simba sc kocha Patrick Aussems ameendelea kuinoa timu hiyo kuelekea mchezo wa ligi kuu nchini dhidi ya Ruvu …
-
Ligi kuu ya soka Tanzania bara inaendelea tena jioni ya leo kwa michezo mbalimbali ambayo itafanyika katika viwanja tofautitofauti nchini. Singida United watawakaribisha Alliance mchezo utakaofanyika katika uwanja wa Namfua …