Mshambuliaji wa klabu ya Namungo Fc Adam Salamba amesajili na klabu ya Ghazl-El Mahala inayoshiriki ligi kuu nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja ambapo ataungana na Mtanzania Himid Mao …
Tag:
salamba
-
-
Mshambuliaji Mtanzania Adam Salamba ametemwa na klabu yake ya Js Soura ya nchini Algeria kutokana na kiwango kisichoridhisha baada ya kukaa klabuni hapo kwa muda wa miezi kumi tangu asajiliwe. …
-
Mshambuliaji wa Simba sc Adam Salamba amejiunga na timu ya Al Jahra sc inayoshirikiligi kuu nchini Kuwait kwa dau linalokadiriwa kufikia shilingi milioni 100. Salamba aliyesajiliwa na Simba sc akitokea …
-
Mshambuliaji wa zamani wa Lipuli Fc Adam Salamba amesajiliwa na timu ya Namungo Fc kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Simba sc baada ya kutopata nafasi kikosi cha kwanza katika …