Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amefanikiwa kusalia ligi kuu ya Uingereza baada ya timu yake ya Aston Villa kutoa sare ya 1-1 dhidi ya Westham United. …
Samatta
-
-
Manchester United imeweka kipaumbele katika usajili wa nahodha wa Aston Villa Jack Grealish, 24, msimu huu lakina inaweza kubadili mipango yake ikiwa mchezaji Kai Havertz wa klabu ya Bayer Leverkusen …
-
Mchezaji maarufu wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amesadikika kutua nchini England katika timu inayoshiriki ligi kuu Norwich City. Timu hiyo i mefikia ofa ya pauni milioni 11 …
-
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) Mbwana Samata ameamua kufunguka kuelekea mechi dhidi ya Equatorial Guinnea katika kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini Cameroon mwaka …
-
Timu za Newcastle united,Westham united na nyinginezo barani ulaya zimeonyesha nia ya kumsajili staa wa kitanzania Mbwana Samatta baada ya kuonyesha kiwango kizuri katika michuano ya klabu bingwa barani ulaya. …
-
Nahodha wa taifa stars Mbwana Samatta ametimiza ndoto yake ya kuifunga klabu ya Liverpool baada ya jana kufunga goli la kusawazisha dakika ya 40 ya mchezo wa ligi ya mabingwa …
-
Staa wa Taifa stars na klabu ya Krc Genk ya nchini Ubeligiji Mbwana Samatta amefunga pingu za maisha na mwanamke aitwaye Neima Mgange ndoa iliyofungwa usiku huu eneo la kijichi …
-
Mtanzania Mbwana Samatta ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza michuano ya klabu bingwa barani ulaya wakati akiichezea timu yake ya KRC Genk dhidi ya Reddbull Salzburg ya nchini …
-
Nahodha wa Taifa stars Mbwana Samatta kesho ataweka rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza Uefa ambapo atakuwa uwanjani na timu yake ya Krc Genk kucheza mchezo wa klabu bingwa …
-
Hofu ilikua imetanda katika klabu ya Krc Genk anayoichezea Mtanzania Mbwana Samatta kufuatia kupata jeraha katika goti hali iliyosababisha kupelekwa kwenye mashine ya Magnetic Resonance Imaging. Jeraha hilo alilipata katika …