Staa wa klabu ya Simba Ibrahimu Ajibu hatakua sehemu ya kikosi cha timu kinachoshuka dimbani jioni ya leo kupambana na Lipuli Fc mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Samora mjini Iringa. …
Tag:
Samora
-
-
Baada ya kumkosa kocha wao kipenzi Ettiene Ndayiragije ambae taarifa zinadai amemalizana na Azam Fc timu ya Kmc imeamua kumpa mkataba kocha Selemani Matola ili kuziba nafasi ya Mrundi huyo …