Taarifa kutoka nchini Ujerumani zinaripotiwa kuwa Jodan Sancho amekubali kujiungua na Manchester United na atasaini mkataba wa miaka 5 kwenye dirisha la usajili la majira ya joto yaliyoanza hivi sasa. …
Tag:
sancho
-
-
Borussia Dortmund itahitaji kulipwa pauni milioni 115 ili kumuuza mchezaji wa England mwenye umri wa miaka 20 Jadon Sancho. (Telegraph) Winga wa Crystal Palace na Ivory Coast Wilfried Zaha, 27 …
-
Klabu ya Manchester united inaamini itaipiku Chelsea kwenye mbio za kuwania saini ya Kiungo mshambuliaji na winga Jodan Sancho anayechezea klabu ya Dortmund ya Ujerumani. Jordan Sancho anadaiwa kuwa na …