Timu ya Taifa ya Senegal imetolewa katika michuano ya mataifa ya Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-4 kwa penati dhidi ya timu ya Taifa ya Ivory Coast baada …
Senegal
-
-
Bingwa mtetezi wa Fainali ya Mataifa Afrika (Afcon) Timu ya Taifa ya Senegal imetinga hatua ya 16 bora baada ya kuichapa Cameroon mabao 3-1 leo katika Uwanja wa Charles Konan …
-
Sadio Mane wa Senegal yupo hatihati ya kukosa fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Quatar mwezi huu baada ya kuumia sehemu ya mguu wake katika mchezo baina ya klabu …
-
Timu ya Taifa ya Senegal imefanikiwa kufuzu michuano ya kombe la dunia nchini Qatar baada ya kuifunga Misri kwa bao 1-0 katika mchezo wa marudiano uliofanyika katika uwanja wa Abdoulaye …
-
Paris st.German(PSG) wamekamilisha usajili wa kiungo msenegali Idrissa Gana Gueye kutoka klabu ya Everton kwa dau la paundi milioni 29 kwa mkataba wa miaka minne huku kukiwa na kipengele cha …
-
Timu ya taifa ya Algeria imetwaa ubingwa wa kombe la mataifa ya Afrika baada ya jana kuifunga Senegali 1-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika katika uwanja wa kimataifa wa Cairo. …
-
Hatimaye baada ya miaka 17 kupita timu ya taifa ya Senegal imefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika baada ya jana kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi …
-
Dakika ya 68 wakati mechi ya Tanzania na Algeria ikiendelea baada ya Boko kuokoa mpira na ukamkuta dogo mmoja hatari aliayeachia shuti kali na kumuacha kipa Aishi Manula asijue la …
-
Timu za soka za Tanzania na Kenya zimeanza vibaya mechi za ufunguzi za kombe la mataifa ya Afrika baada ya zote kukubali kipigo cha mabao mawili kwa bila dhidi ya …
-
Beki wa Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa stars) Hassan Kessy yupo huru kucheza mchezo wa kwanza wa michuano ya mataifa ya Afrika(Afcon 2019) ambapo Stars itachuana na Senegal siku ya …