Senzo Mbatha Mazingiza ambaye ni Afisa Mtendaji mkuu wa klabu ya Yanga sc ameachia ngazi nafasi hiyo aliyodumu kwa takribani mwaka mmoja baada ya kukumbwa na matatizo ya kifamilia ambayo …
senzo mazingiza
-
-
Taarifa za kuaminika zinadai mshauri mkuu wa klabu ya Yanga sc Senzo Mbatha Mazingisa amewekwa mbaroni katika kituo cha polisi Oysterbay akidaiwa kuihujumu klabu ya Simba sc. Awali ilidaiwa kwamba …
-
Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Senzo Mazingisa ni mmoja wa vigogo kadhaa wa soka watakaokuwa wazungumzaji katika Kongamano la Mpira wa Miguu la Dunia (WFS) linalotarajiwa kufanyika Durban, Afrika …
-
Timu ya Simba sc imemsimamisha kazi kocha mkuu Patrick Aussems mpaka Novemba 28 mwezi huu ambapo kikao cha bodi ya wakurugenzi kitakapokaa na kutoa maamuzi. Kwa mujibu wa ripoti za …
-
Klabu ya Simba ipo mbioni kuachana na mastaa wasiopungua tisa katika kikosi cha sasa wakati wa dirisha dogo mwezi ujao. Wachezaji hao watakaotemwa wengi wao itakua kwa kushindwa kuonyesha kiwango …
-
Ofisa Mtendaji wa klabu ya Simba, Senzo Mazingisa, amesema Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems alimtumia ujumbe ukimwarifu kuwa amepatwa na dharura. Taarifa imesema kuwa Aussems alimtumia Mazingisa ujumbe huo lakini hakuanisha …
-
Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Senzo Mazingisa amewateua Rispa Hatibu kuwa kuwa msaidizi wake huku pia akimteua kuwa mkurugenzi wa wanachama na mashabiki uteuzi ambao umeanza rasmi leo novemba …
-
Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Senzo Masingiza amelimaliza kisomi suala la wachezaji Jonas Mkude,Clatous Chama na Gadiel Michael ambao walikua wanakabiliwa na madai ya utovu wa nidhamu baada ya …