Rais wa awamu ya nne wa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameishauri Yanga kuachana na mvutano wa suala la mchezaji, Bernard Morrison kwani suala la …
serikali
-
-
Serikali imesema itaruhusu mashabiki wachache zaidi katika mchezo wa fainali ya kombe la Azam Sports Federation kati ya Simba na Namungo utakaofanyika katika Uwanja wa Nelson Mandela Sumbawanga. Hatua hii …
-
Serikali imepiga marufuku mashabiki wa soka katika mikoa nje ya Dar es Salaam, kuingia viwanjani kutazama mechi za Ligi Kuu zitakazohusisha timu za Simba na Yanga kuanzia leo (Jana) hadi …
-
Licha ya uongozi wa klabu ya Mbao fc kuwaita wachezaji wake kambini kujiandaa na michezo ya ligi kuu iliyosalia taarifa zkutoka klabuni hapo zinadai hakuna mchezaji hata mmoja aliyeripoti kambini. …
-
Mechi ya watani wa jadi Yanga vs Simba iliyochezwa Jumapili Machi 8, 2020 imevunja rekodi ya mapato kwa kuiingizia serikali shilingi milioni 153.2 kiasi ambacho hakijawahi kupatikana katika historia ya …
-
Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA) limetoa onyo kwa nchi ya Uganda kuwa litaifungia kujihusisha na masuala ya soka ikiwa serikali ya nchi hiyo itaingilia masuala ya soka. Onyo hilo limetolewa …