Sasa ni uhakika kuwa kipa mpya wa Yanga sc Farouk Shikalo atatumika katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Zesco baada ya shirikisho la soka barani Afrika (Caf) …
shikalo
-
-
Mastaa wapya wa Simba na Yanga Farouk shikalo na Francis Kahata wameng’aa katika usiku wa tuzo za ligi kuu nchini Kenya baada ya wawili hao kutwaa tuzo za kipa bora …
-
Wachezaji Farouk Shikalo,Mustapha Seleman na David Molinga wataukosa mchezo wa marudiano wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers baada ya kukosa leseni kutoka shirikisho la soka barani Afrika (Caf) …
-
Kipa wa Yanga Mkenya Farouk Shikalo amefurahishwa na kurejea kwa beki mkongwe Kelvin Yondani ambaye aligoma kujiunga na kambi ya timu hiyo baada ya kutokamilishiwa baadhi ya madai yake ya …
-
Wachezaji wapya wa Yanga sc Farouk Shikalo na David Molinga wapo kwenye hatihati ya kuikabili Township Rollers baada ya kutopata leseni kutoka shirikisho la soka barani afrika (Caf) inayowaruhusu kucheza …
-
Kipa mpya wa timu ya Yanga sc Mkenya Farouk Shikalo jana amewasili nchini na kupokelewa na kaimu katibu mkuu wa klabu hiyo Dismas Ten katika uwanja wa ndege wa kimataifa …
-
Yanga sc imeendelea kuonyesha umwamba katika kufanya usajili baada ya kumalizana na nyota kadhaa ambao wapo katika michuano ya Afcon nchini Misri ili kuwahi kutuma majina shirikisho la soka barani …