Tamasha la klabu ya Simba sc maarufu kama Simba day limefanyika kwa mafanikio makubwa ikiwa ni mara ya 16 ambapo limefanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam …
simba day
-
-
Klabu ya Simba sc imetangaza kuwa wiki maalumu ya klabu hiyo kuelekea tamasha la Simba Sc Day inatarajiwa kufunguliwa rasmi Julai 24 katika mbuga ya Wanyama ya Mikumi mkoani Morogoro …
-
Lile tamasha kongwe la michezo lililokua likisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa klabu ya Simba sc sambamba na wadau wa michezo nchini limefanyika jana kwa kufana hasa mgeni rasmi Rais …
-
Klabu ya Simba sc imefanya tamasha la kufungua msimu mpya la Simba day ambalo limefunika matamasha yote ya michezo nchini likiwemo la watani zao Yanga sc la wiki ya mwananchi. …
-
Klabu ya soka ya Simba sc imefanikiwa kufanya uzinduzi wa Tamasha la siku ya Simba day ambapo wamezindua rasmi shamrashamra kuelekea siku hiyo (Simba week 2022) ambapo kutakua na shughuli …
-
Klabu ya Simba sc imetangaza kuwa itafanya uzinduzi wa wiki ya Simba kuelekea katika kilele cha siku ya Simba day ambayo hufanyika kila mwaka August 8 siku ambayo huwa ni …
-
Klabu ya Simba sc imetangaza kwamba tamasha la kufungua msimu mpya la klabu hiyo maarufu kama Simba Day litafanyika siku ya Augusti nane mwaka huu maarufu kama siku ya nane …
-
Tamasha la Simba day limefikia kileleni hapo jana kwa mchezo baina ya timu hiyo dhidi ya Power dynamos ya Zambia katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam na Simba …