Klabu ya wanawake ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu muhimu mbele ya Simba queens baada ya kuifunga kwa bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake nchini uliofanyika …
simba queens
-
-
Klabu ya Simba queens imeachana na kocha wake mkuu Juma Mgunda kutokana na kocha huyo kumaliza mkataba wake klabuni hapo. Mgunda aliyeajiriwa kama kocha msaidizi wa timu ya wanaume akitokea …
-
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba Queens, Opah Clement jana Jumatano (Machi 08) alitarajiwa kutambulishwa rasmi kwa Mashabiki wa Klabu ya Beskitas inayoshiriki Ligi Kuu Uturuki. Opah aliondoka nchini juzi Jumanne (Machi …
-
Klabu ya Wanawake ya Simba queens imeshindwa kufuzu hatua ya fainali ya kombe la wanawake barani Afrika baada ya kufungwa 1-0 na timu ya wanawake Mamelod Sundowns ya nchini Afrika …
-
Timu ya wanawake ya klabu ya Simba sc(Simba queens) imeifunga timu ya wanawake ya Yanga Princess mabao 5-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika jijini Dar es salaam. Simba Queens …
-
Timu ya wanawake ya Simba sc(Simba queens) leo saa tano asubuhi watakabidhiwa bendera ya taifa kwa ajili ya safari yao ya kisoka nchini Ujerumani shughuli ambayo itafanyika ndani ya ofisi …