Jezi Mpya za Yanga SC 2025/2026: Zama Mpya za Ubunifu na Utambulisho Kila msimu mpya wa soka huja na msisimko wake, na kwa wapenzi wa Yanga, hakuna kinachosisimua zaidi kuliko …
simba sc yanga sc
-
-
Yanga Sc Yatwaa Ubingwa Mbele ya Simba Sc
-
Klabu ya Simba Sc imesisitiza kuwa haiko tayari kumuachia kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua kwa dau chini ya shilingi bilioni 1.5 za kitanzania. Awali klabu hiyo iliwasiliana na Kaizer Chiefs …
-
Klabu ya Yanga sc imepigwa faini ya shilingi za kitanzania milioni 12 na bodi ya ligi nchini kutokana na makosa mbalimbali kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Bodi hiyo. Yanga …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Simba Sc katika mchezo uliofanyika Jumamosi Oktoba 19 katika uwanja …
-
Klabu ya Simba Sc imejipoza kutoka kufungwa Derby ya kariakoo na Yanga sc baada ya kuibamiza Coastal Union kwa bao 1-0 katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu ya Ngao …
-
Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison leo ametumia dakika 64 ndani ya Uwanja wa Taifa akidhibitiwa na mabeki wa safu ya Simba iliyokuwa ikiongozwa na Pascal Wawa kwenye mchezo wa Kombe …
-
Golikipa namba mbili wa klabu ya Simba, Beno Kakolanya amemshangaa kocha wa makipa wa klabu hiyo Mohamed Mwarami kwa kumsema hayupo fiti kwa kocha mkuu wa Simba (Sven) na hawezi …
-
Uongozi wa klabu ya Simba umezindua rasmi Website yake (Tovuti) kwa ajili ya kutanua wigo mpana wa kutoa taarifa kwa mashabiki wake ndani na nje ya nchi. Tovuti hiyo imezinduliwa …
-
Kwa nafasi Yanga waliyoachwa na Simba ni ngumu kuwafikia kwani kunahitaji juhudi na akili nyingi kutokana na mzigo wa pointi wanazodaiwa na idadi ya mechi walizonazo. Aidha  itokee Simba wapoteze …