Kiungo wa Simba Sc, Luis Miquissone leo Agosti 2,2020 amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam. Luis amehusika kwenye mabao yote mawili ya …
simba
-
-
Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison leo ametumia dakika 64 ndani ya Uwanja wa Taifa akidhibitiwa na mabeki wa safu ya Simba iliyokuwa ikiongozwa na Pascal Wawa kwenye mchezo wa Kombe …
-
Huu ndio muonekano mpya wa beki wa Simba, Pascal Wawa baada ya kukaa kipindi cha mpito ndani ili kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona akiwa nje ya kambi ya …
-
Uongozi wa klabu ya Simba umezindua rasmi Website yake (Tovuti) kwa ajili ya kutanua wigo mpana wa kutoa taarifa kwa mashabiki wake ndani na nje ya nchi. Tovuti hiyo imezinduliwa …
-
Mshambuliaji wa zamani wa Kagera Sugar,Kassim Khamis aliyechomoa dili la kujiunga na vigogo wa Kariakoo Simba na Yanga anapata tabu sana ndani ya Azam FC baada ya kuwekwa benchi kwa …
-
Mshambuliaji wa zamani wa klabu za Simba na Yanga,Amiss Tambwe amefunguka kuwa bado ana ndoto za kurejea Yanga kwa sababu ilimfanyia makubwa katika historia yake ya soka, hivyo itakuwa busara na …
-
Patrick Gakumba ambaye ni wakala wa nyota wa Simba Sc, Meddie Kagrer amefunguka kwamba dili la mchezaji wake kutakiwa na klabu ya Hispania limekuwepo na kitu pekee ambacho kinakwamisha suala …
-
Jina la kiungo mkabaji wa Mtibwa Sugar, Abdulhalim Humoud ‘Gaucho’ndiyo lililomuondoa Said Ndemla kwenye orodha ya majina ya usajili ya Yanga. Awali yalikuwepo majina mawili ya viungo wakabaji wazawa yaliyokuwa …
-
Jonas Mkude ambaye ni kiungo katika kikosi cha Simba amekosa katika mazoezi ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ yaliyoanza siku ya jana Jumatatu kwenye uwanja wa Taifa,Dar-es-slaam. Taifa …
-
Beki kiraka wa klabu ya Simba sc Erasto Nyoni atakua nje ya uwanja kwa muda wa wiki mbili kufuatia kuumia katika mechi ya watani wa jadi siku ya jumapili. Beki …