Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema kikosi chake kiko timamu kwa asilimia 100 kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba Mchezo huo utapigwa leo saa 11 jioni …
simba
-
-
Staa wa klabu ya Simba sc Deo Kanda amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga sc utakaofanyika jioni ya leo katika uwanja wa …
-
Mshambualiaji wa Simba Sc John Boko amesaini kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo baada ya ule wa awali kufikia kikomo msimu. Mshambualiaji huyo aliyejiunga simba akitokea Azam Fc …
-
Staa wa soka la Tanzania Ibrahim Ajib Migomba bado hajaeleweka wapi atakipiga msimu ujao baada ya kushindwa kufikia muafaka na matajiri wa kongo Tp Mazembe ambao iliaminika atajunga nao baada …
-
Klabu ya Yanga imeendelea na harakati za kuboresha kikosi chake ambapo baada ya kusajili mapro wa kigeni kadhaa sasa imegeukia wazawa pamoja na kuboresha benchi la ufundi.Katika maboresho haya klabu …
-
Timu ya Yanga imepata bahati ya kushiriki michuano ya klabu bingwa barani Afrika mwakani baada ya kumaliza nafasi ya pili ya ligi kuu bara.Timu hiyo itaungana na Simba katika michuano …
-
Beki wa klabu ya Simba Shomari Kapombe amekanusha taarifa zilizosambaa zikidai ametonesha majeraha yake wakati akifanya mazoezi na kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa na michuano ya Afrika (Afcon),Beki huyo …
-
Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara amepewa kiasi cha shilingi milioni tatu na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kama zawadi kutokana na mchango wake wa kuhamasisha …